Kiwango cha Msingi cha UboranaUwajibikaji cha Kutoa Misaada ya Kibinadamu kinayaelekeza mashirika na watu binafsi namna ya kuhakikisha wanatoa huduma za miitikio ya kibinadamu kiubora, kiufanisi na kiuwajibikaji.

Kiwango cha Msingi cha Kutoa Msaada wa Kibinadamu kina ahadi tisa ambazo zimefafanuliwa katika kozi hii ya mafunzo mtandaoni.   Kila ahadii inajumuisha mambo ya msingi na majukumu ya shirika (“kipi unastahi kikutenda”) na viashiria (“Je, unatekeleza ipasavyo?”).

Moduli hii ya mafunzo mtandaoni inatambulisha viwango vya CHS. Hata kama haufanyi kazi na shirika la misaada ya kibinaadamu au hujahusishwa katika utoaji, ni muhimu kila mtu kujua ahadi tisa ambazo zitakusaidia kujua kwa nini mashirika ya kibinadamu yanavyofanya kwa namna mbalimbali.

Kozi imeundwa kwa ushirikiano wa asasi za CHS alliance, Mradi wa Sphere, Gruope URD na IECHAH. 

Hadhira

Moduli  hii imewalenga  watoa huduma ya misaada  ya kibinadamu  kwa ngazi zote na watu wengine wenye nia na maelezo ya jumla kuhusu CHS

Length

Moduli hii itachukua saa 1-2 kukamilika.

Lugha nyenginezo

Kozi hii pia inapatikana  Katika  lugha ya KiingerezaKifaransa na Kiarabu