Muktadha wa Kibinadamu, Mifumo na Programu za Kawaida huundwa na Moduli 4. Kozi hii ina Moduli 4; unaweza kujiunga na moduli za ziada hapa chini.

Moduli 4: Kanuni na Viwango

Mada za  Moduli

 • Wafanyakazi wa Msaada wa Kibinadamu
 • Kanuni za Kibinadamu
 • Kanuni za Maadili
 • Uwanda wa Mradi

Malengo ya Mafunzo

 • Kutambua umuhimu wa kuzingatia kanuni za maadili wakati wa dharura ya kibinadamu
 • Kutaja aina nne za kanuni za Kibinadamu
 • Kutambua umuhimu wa  kanuni za kimaadili za Kibinadamu
 • Kutambua vidokezo vya kanuni za maadili
 • Kutambua sehemu muhimu za usaidizi wa Kibinadamu kama zilivyoainishwa katika  Kitabu cha Sphere.
 • Kutambua sekta za kiufundi na zinzoshughulikia masuala anuai katika kitabu cha Sphere.
 • Kubaini mifano ya jinsi mifano halisi ya mafunzo  yanaweza kuimarisha usaidizi wa kibinadamu.
 • Kutambua masomo sita ya Tambua “Usidhuru” (Identify “Do No Harm”)
 • Kuorodhesha sifa za wafanyakazi wataalamu wa usaidizi

Hadhira

Moduli hii ni mahsusi kwa watendaji wa kibinadamu) haswa wale ambao ni wapya katika sekta hii, na wale ambao wenye shauku ya kujiungezea maarifa yao na wanaojitolea katika mwitikio wa Kibinadamu. 

Muda

Saa1

Kuhusu Programu

Muktadha wa Kibinadamu, Mfumo na Programu za Kawaida ni sehemu ya mafunzo ya Kibinadamu ya Programu ya Mafunzo ya kitaalumu ya Kibinadamu. Programu hizo kuu za kitaalamu zinaztoa mafunzo kamilifu yanayozingatia mtaala wa umilisi unaowandaa wasaidizi wa Kibinadamu wanaotarajiwa na wale ambao tayari wapo katika sekta hii kuweza kukabiliana na changamoto watakazokumbana nazo katika uwanja huu.

Imetayarishwa na kufundishwa na wataalamu kutoka pande zote za dunia, programu ina sifa za kuwa na ustadi wa kitaaluma, usomaji kwa vitendo, mazoezi yanayozingatia ushahidi, malengo ya uwiano ya mafunzo, vitendo vya ujifunzaji vyenye kuvutia,  uchunguzi kifani na majaribio ya kupima yenye kuzingatia ueweledi. Na majaribio yanayopima utendaji

Moduli nyengine katika muktdha , mfumo na Programu za Kawaida zinapatikana katika Kaya:

Moduli 1

Moduli 2

Moduli 3

Programu ya PHAP: Utumizi wa  kanuni za Kibinadamu kivitendo, Kuelewa mfumo wa kiikolojia wa Kibinadamu

Kozi hii itakusaidia kuandaa  Programu ya PHAP katika kuyaelewa masuala ya Kuelewa Masuala ya Mfumo ekolojia wa Kibinadamu  na katika Utumizi wa Kanuni za Kibinadamu kwa Vitendo

Soma zaidi kuhusu PHAP Credentialing Program

Programu ya Uhitimu ya PHAP Credentialing Program: Kuelewa mfumo wa ekolojia wa kibinadamu. 

Kozi hii itakusaidia kujiandaa na programu ya cheti cha uhitimu cha PHAP katika  Kufahamu Mfumo wa Kibinadamu wa Kiokolojia  .

Kozi inaelekeza haswa sehemu 1.1 na 1.7 na 1.9 Kanuni ya mwongozo wa tathmini ya uthibitisho. Na pia inaelekeza baadhi ya sehemu ya 2.2