Programu hii imeundwa na moduli 4. Kozi hii ni ya Moduli ya 3 ; unaweza kujiunga na moduli za ziada hapa chini.

Moduli 3:  Mwitiko wa Kibinadamu na Watendaji

Mada za Moduli

  • Mabadiliko ya Kibinadamu ya mwaka 2005
  • Mfumo wa Makundi ya Umoja wa Mataifa ni nini?
  • Nguzo nne

Malengo ya Mafunzo)

  • Kuelezea mfumo vikundi wa Umoja wa Mataifa
  • Kubainisha majukumu ya mfumo wa vikundi wa Umoja wa Mataifa
  • Kutambua sababu za umuhimu wa utaratibu  kwa ufanisi wa mfumo wa Kibinadamu
  • Kuelezea majukumu ya Inter-Agency Standing Committee (IASC)
  • Kutaja Vyanzo vya Fedha kutoka kwa Wafadhili kwenda kwa Wanufaika
  • Kutambua njia zinazoongoza ushirikiano wa kibinadamu.

Hadhira

Moduli hii ni mahsusi kwa wasaidizi wa kibinadamu haswa wale ambao ni wapya katika sekta hii, na wale ambao wenye shauku ya kujiungezea maarifa yao na wanaojitolea katika mwitikio wa Kibinadamu

Muda

Dakika 45

Kuhusu Programu

Muktadha wa Kibinadamu, Mfumo, na programu za kawaida ni sehemu ya Humanitarian U. Programu ya Msingi ya Kitaalamu ya Mafunzo ya Kibinadamu. Programu, hii ya Kitaalamu inatoa mafunzo ya namna ya kukabiliana na changamoto katika kazi  yenye kuzingatia mtaala wa kiumilisi unaowaandaa Wasaidizi wa Kibinadamu wenye hamasa na wale  ambao wapo katika sekta hii

Programu hii imetayarishwa na kufundishwa na wataalamu kutoka pande zote za dunia, hivyo inajumuisha sifa za kuwa na ustadi wa kitaaluma, usomaji kwa vitendo, mazoezi yanayozingatia ushahidi, malengo ya kujifunza yenye viwango, na majaribio ya kufurahisha na kupima kwa kuzingatia weledi, uchunguzi kifani na majaribio yanayopima utendaji

Moduli nyingine zilizomo katika muktadha, mfumo na viwango vya programu vilivyomo katika Kaya:

Module 1

Module 2

Module 4

Programu ya Uhitimu ya PHAP: Uelewa wa mfumo wa ecolojia katika kutoa misaada ya kibinadamu. 

Kozi hii itakusaidia kujiandaa na programu ya cheti cha uhitimu cha PHAP katika uelewa wa mfumo wa ecolojia katika kutoa misaada ya kibinadamu (Understanding the Humanitarian Ecosystem).

Kozi inaelekeza haswa sehemu 1.5, 2.3, 2.6 and 3.1 ya kozi 1.3 ya mwongozo wa tathmini ya uthibitisho.

Soma zaidi kuhusu programu ya utoaji wav yeti vya PHAP