Toleo hili la mwisho la Kijitabu cha Sphere, Mkataba wa Kibinadamu na Viwango vya Chini katika Usaidizi wa Kibinadamu, ni mazao ya ushirikiano miongoni mwa shirika.
Mkataba wa Kibinadamu na viwango vya chini huonyesha kujitolea kwa shirika ili kuendeleza kufaa kwa msaada wao na manufaa yao kwa washika dau wao, kuchangia kwa makubaliano, kuchangia kwa makubaliano ya utendaji kwa manufaa.

Mkataba wa Kibinadamu na viwango vya chini havitazuia hali ya hatari ya kibinadamu kutokea, wala haviwezi kuzuia binadamu kuteseka. Hata hivvyo, ile zinatoa ni nafasi ya kuongezeka kwa msaada kwa lengo lakufanya tofauti katika maisha ya watu waliothirika na mkasa.

Kutoka mwanzo wao katika miaka ya mwisho ya 1990, kama ari ya kikundi cha Mashirika Yasiyo ya Kiserikari ya kibinadamu na Msalaba mwekundu na ya Hilali Nyekundu, viwango vya Sphere sasa vinawekwa kama viwango vyade facto katika usaidizi wa kibinadamu katika karne ya 21.

Hadhira

Mradi wa Sphere inawalenga  watoa huduma ya misaada  ya kibinadamu  kwa ngazi zote na watu wengine wenye nia na maelezo ya jumla kuhusu Sphere

Rasilimali Nyinginezo za Sphere

Vyanzo vingine vya Sphere vinapatikana hapa, kama vile Sphere for Managers, The Sphere Handbook in Action na Introduction to the Sphere handbook.